IQNA – Mufti wa New Zealand ameipongeza hafla ya Malaysia 'Quran Hour' yaani Saa ya Qur'ani kwa kuhamasisha Waislamu kuhusu Kitabu Kitukufu cha Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3481165 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/31
TEHRAN (IQNA)-Surah Yasin katika Qur’ani Tukufu itakuwa maudhui kuu katika tukio la Saa ya Qur’ani (#QuranHour) ambalo limeandaliwa kimataifa Agosti 31.
Habari ID: 3471123 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/15